PWEZA ATATABIRI TENA .........?

Thursday, July 08, 2010 / Posted by ishak /

Wapenzi wasomaji munaonaje kuhusu pweza,final ya tarehe 11 ataleta mshindi mapema kama alivyofanya mwanzo

toa maoni yako


siku njema

2 comments:

Anonymous on July 9, 2010 at 4:11 AM

DUIIIIII MBONA LONG TIME AMESHATABIRI WANGU ,WADACHI WATASHINDA MAGOLI MENGI TU WANGU ,AU HUJAONAONA KWENYE YOU YUBE ,ANDIKA paul the octopuspredict the final,the netherland vs spain,uone mambo

Comment by Ebou's on July 9, 2010 at 5:48 AM

Ebanaa nasikia tu pwenza pwenza itikadi tu hizo ila mpira dakika 90 , 3 zamajeruhi, Na jaribu kutuweke habari nyingi bana una post moja tu unatutiaa machungu kama huna Iba kwangu tzswahilivillage.blogspot.com Kila lakheri mzee. folo me.

Post a Comment