HUTBA YA RAIS WA ZANZIBAR PAMOJA NA PICHA ZA MATUKIO

Saturday, September 10, 2011 / Posted by ishak / comments (0)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akitowa Taarifa ya Serikali kuhusiana na kutokea kwa Ajali ya Meli usiku wa kuamkia leo huko katika mkondo wa Nungwi.

WAANDISHI wa Habari wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitowa Taarifa ya Serikali kwa Wananchi kuhusiana na ajali ya Meli ya MV Spice.


MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib akiongoza kikao cha taarifa ya Rais wa Zanzibar akiitowa kwa Waandishi wa Habari wa vyomba mbalimbali Ikulu ya Zanzibar kutokana na ajali ya Mele ya MV.Spice

KATIKA VIWANJA VYA MAISARA KUTAMBUA MIILI YA NDUGU ZAO.








DK. SHEIN AKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO NUNGWI AKIJUMUIKA NA WANANCHI KUPOKEA MAJERUHI NA MAITI

































MMOJA wa Abiria aliyekuwa katika ajali hiyo Khamis Jabu Faki (62) akizungumza na Mwandishi wa Redio Zenj Fm Hafidh Kassim baada ya kufikishwa katika ufukwe wa pwani ya Nunwi akielezea jinsi ya ajali ilivyotokea.

WANANCHI wa Kijiji cha Nungwi wakiwa ufukweni mwa Bandari ya Nungwi wakiwasiliana na waokoaji wakiwa baharini.
MAJERUHI wa ajili ya Meli ya Spice wakipata huduma ya kwanza baada ya kuwasal katika bandari ya Nungwi baada ya kunusurika.


WANANCHI wakiwa katika Ufukwe wa Bandari ya Nungwi kuwatambua watu wao
MOJA ya boti inayoopowa maiti na majeruhi ikiwa na miili ya watu waliokufa katika ajali ya meli ikiwa katika bandari ya Nungwi.
HALI ya uokoaji ikiendelea katika pwani ya Nungwi.
WANANCHI na Askari wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa na miili ya marehemu wakiitowa katika boti za uokoaji bandari ya Nungwi.
ASKALI wa Jeshi la Wananchi wakitowa msaada wa katika zoezi hilo la uokoaji wakiwa katika bandari ya Nungwi.
WATALII kutoka Nchi Ufaransa wakitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa Meli ya Spice iliozama katika Mkondo wa bahari ya Nungwi.
MSAADA hutolewa popote ndivyo inavyoonekana Watalii kutoka Ufaransa wakitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi

MTALII kutoka Ufaransa Jullie akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa mtoto aliyenusurika katika ajali ya Meli ya Spice baada ya kuokolewa wakiwa katika bandari ya Nungwi.
MWANDISHI wa habari gazeti laZanzibar Leo Ramadha Makame akimuhoji mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo katika ufukwe wa bahari ya Nungwi

SOURCE OTHMAN MAPARA BLOG