BUSTA RYMES ALIVYOKAMUA NDANI YA FIESTA 2009

Sunday, November 22, 2009 / Posted by ishak /







Busta Rymes alikonga nyoyo ya washabiki katika fiesta one pamoja na vijana wake aliokuja nao
pia Chid Benz aliwasha moto kilivyo kwa mashabiki waliofurika kama nyuki

0 comments:

Post a Comment