mtanzania aliyeuawa uingereza

Wednesday, December 23, 2009 / Posted by ishak /Salum Kombo,mtanzania alieuawa nchini uingereza
href="http://3.bp.blogspot.com/__R2dXloMrWE/SzHzMBbD9LI/AAAAAAAAAQc/zfWEGGzetjE/s1600-h/1261554632_marafiki_wa_kombo.jpg">
marafiki zake wakimlilia kwa huzuni kubwa

sehemu ya tukio lilipotokea
SALUM KOMBO, kijana mwenye umri wa miaka 18, Mtanzania ambaye ameishi Uingereza kwa muda wa miaka ipatayo saba, jana ameshambuliwa kwa kisu na kufa kutokana na kilichoelezwa kuwa "mgogoro mdogo" uliotokana na mtandao (tovuti) unaotumiwa na watu, hususani marafiki au watu wenye uhusiano wa karibu, kuwasiliana juu ya mambo mbalimbali uitwao Facebook...